VIDEO:Chid Benz Arudia Madawa ya Kulevya, Babu Tale Aapa Kutomsaidia Tena!

Chid Benz amerudia tena madawa ya kulevya na yupo kwenye hali mbaya
Mwana Fa alimuomba Babu Tale wamsaidie msanii huyo hivi karibuni lakini Babu Tale akasema hatomsaidia tena kwa kuwa Chid Benz ni kama sikio la kufa, halisikii dawa
Watu kadhaa walitabiria Chid Benz kurudia kutumia madawa kutokana na msanii huyo kukosa nidhamu na utabiri wao umetimia

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chid benz acha madawa yatakuua umenusurika kwenda jela ulivyokamatwa na madawa akatokea msamalia mwema kukulipia ili usiende jela, na babu tale kakupeleka kliniki ya kuacha madawa ukapuuzia kuna wasanii ambao hawakupata msaada huo ambao leo hii hawapo duniani acha madawa ni heri ubadilishe madawa unywe pombe ni bora zaidi kuliko madawa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad