VIDEO:Mchungaji Gwajima Aliposema Atamfufua Amina Chifupa

Tujikumbushe Gwajima Alipotoa kauli ya kumfufua Amina Chifupa, Nimekuwekea Video  kuhusu Kumfufua Amina Chifupa aliyefariki mda mrefu uliopita. Askofu Gwajima anadai Moja ya mtu aliyerudishwa kutoka kwenye msukule ndio aliesema alimwacha Amina Chifupa akiwa huko kwenye misukule

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sifa za kijinga za namna hii si nzuri anapaswa kujua anaumiza hisia za watu

    ReplyDelete
  2. Bonge la mpuuzi huyu jamaa na hao wajinga wengine wamejazana kibao wanamshangilia na mwishoni wanamchangia vijisenti vyao vyote vya ngama huyo mtapeli mishipa ya uso imemtoka kwa uongo wa kutumia jina la Yesu ipo siku hao jamaa wataamka usingizini na utaisoma namba

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad