VIDEO:Msanii Darasa akiwa na Hanscana wapata ajali ya gari huko Kahama

Mwanamuziki Darasa amepata ajali maeneo ya Ntobo barabara yakuelekea mgodi wa Bullyanhulu wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga. Waliokuwa garini wote wamenusurika.

Katika gari hiyo pamoja na watu wengine alikuwa na mtayarishaji wa video aliye kwenye chart Hanscana.

TAZAMA VIDEO
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. diamond acha roho mbaya umemshindwa alikiba sasa wataka mtoa DARASSA KAFARA,ACHA HIZOOOO WATAKA UWE KINARA PEKE YAKO NYOOOOOO!!!!ULIMUUWA SHAROBARO MILIONEA NA SASA WATAKA MTOA KAFARA DARASSA!!!TUMESHA KUSHTUKIAAA.... P.SQURE ANGEKUWA NA ROHO MBAYA KAMA YAKO KINA DEVIDO TUSINGEWASIKIAA..MXIUUUU NDO MAANA MAGUFULI HAKUPENDII MCHAWII WEWE WATAKA UPAE KWA KUTUMIA KIKI ZA WANAWAKE...MXIUUUU DARASSA NDO KAISHA KUFUNIKA JIPANGE UPYAAAAAA FALA WEWEE!!KIAMA CHAKO CHAJAAA SOOON..KWANI WEWE MUNGUU?????ENDELEA KULEA WATOTO FAKE.

    ReplyDelete
  2. Una uhakika na unayosema au ndo wivu wa kibongo umefanya uchunguzi wa ajali hiyo?

    ReplyDelete
  3. Acheni imani potofu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad