Sawa sawa Mkuu wa kaya. Yaani faru wenyewe hata hamna lakini bado hata huyo mmja watammaliza. Sijui sisi mijitu mieusi tukoje. Wamejawa na unyama kushinda ubinadam. Walishaa zoea ufisadi tuu hawana lolote. Na mpka watapatikana mxiuuu. She...nzi taipu zao
Hapo sawa maana mafisadi wajanja sana, inawezekana kuleta pembe sio za faru john
ReplyDeletekabisa!!! faru John alikuwa Dume la Mbegu...
ReplyDeleteSawa sawa Mkuu wa kaya. Yaani faru wenyewe hata hamna lakini bado hata huyo mmja watammaliza. Sijui sisi mijitu mieusi tukoje. Wamejawa na unyama kushinda ubinadam. Walishaa zoea ufisadi tuu hawana lolote. Na mpka watapatikana mxiuuu. She...nzi taipu zao
ReplyDeleteMpaka kieleweke,walishazoea kudhulumu ndio waishi manina na shwai zao.
ReplyDelete