YOUNG Dee Aonyesha Uanaume...Akutana live na Mama na Mtoto Wake
9Udaku SpecialDecember 12, 2016
Baba, Mama na Mtoto !!!kwa pamoja tumpe Hongera Young D kwa kuikubali Damu yake...mama mtoto kafurahi mpka rahaa!!!
kweli instagram ni mtandao mzuri matatizo mengi yanapata ufumbuzi. 👌👌..
TUPIA NENO MOJA KWAO.
Eti Wema, na DNA ya Riaz jr unaitaka uletewe? Maana ya Tiffah uliidai kwa povu. Na ya Riaz veepe? mcxxxxx. Kama watu wanatotoa na wewe mbona hutotoi? Vaa tena matambara upige picha ili uzidi kujifanya kituko cha TZ.
YOUND DEE MDOGO WANGU HUYO BINTI ANAONEKANA ATAKUWA MKE MWEMA KULIKO HAO WENGINE KINA TUNDA NA WENGINEO, EBU TULIA NAE UMUANGALIE TABIA YAKE IKIWEZEKANA UMUONE ILI MTUNZE MTOTO WENU MKIWA PAMOJA KULIKO KUANGAIKA NA WAKAA UCHI WAKINA TUNDA. NAOMBA MDOGO WANGU BORA UWE NA MKE AMBAYE C MAARUFU. NAKUOMBEA KWA MUNGU UTAFANIKIWA. NAIC HUYU NDIO MKE ULIYEANDIKIWA NA MUNGU
du pamoja na magonjwa yote yaani bado tu watu wanalala kavu kavu sasa huyu atakuwa katembea na huyu demu kipindi akiwa na Tunda maana katembea na Tunda kwa muda mrefu pamoja na Tunda kuwa mrembo namna ile lakini jamaa akaamua kuchepuka, juzi juzi tu kasema anampenda sana Tunda lakini leo hii yupo na demu aliyemzalia mtoto huyu jamaa haeleweki kweli madawa yalimwaribu akili sababu jamaa hajielewi wala hajitambui kikitokea kitu anachukua muda mrefu kuandika kuwa anaomba msamaha kesho na kesho kutwa anajikuta karudia makosa halafu anaandika tena anaomba msamaha, jamaa katembea na Tunda pia na Amber Lulu pia kachanganya mademu kibao ambao sio wasanii
Eti Wema, na DNA ya Riaz jr unaitaka uletewe? Maana ya Tiffah uliidai kwa povu. Na ya Riaz veepe? mcxxxxx. Kama watu wanatotoa na wewe mbona hutotoi? Vaa tena matambara upige picha ili uzidi kujifanya kituko cha TZ.
ReplyDeleteDamu nzito
ReplyDeleteTunda yuko wapi?
ReplyDeleteBRAVO YOUNG DEE!!!
ReplyDeleteHuo ndo uanaume dogo
ReplyDeleteMZURI.
ReplyDeleteYOUND DEE MDOGO WANGU HUYO BINTI ANAONEKANA ATAKUWA MKE MWEMA KULIKO HAO WENGINE KINA TUNDA NA WENGINEO,
ReplyDeleteEBU TULIA NAE UMUANGALIE TABIA YAKE IKIWEZEKANA UMUONE ILI MTUNZE MTOTO WENU MKIWA PAMOJA KULIKO KUANGAIKA NA WAKAA UCHI WAKINA TUNDA. NAOMBA MDOGO WANGU BORA UWE NA MKE AMBAYE C MAARUFU. NAKUOMBEA KWA MUNGU UTAFANIKIWA. NAIC HUYU NDIO MKE ULIYEANDIKIWA NA MUNGU
du pamoja na magonjwa yote yaani bado tu watu wanalala kavu kavu sasa huyu atakuwa katembea na huyu demu kipindi akiwa na Tunda maana katembea na Tunda kwa muda mrefu pamoja na Tunda kuwa mrembo namna ile lakini jamaa akaamua kuchepuka, juzi juzi tu kasema anampenda sana Tunda lakini leo hii yupo na demu aliyemzalia mtoto huyu jamaa haeleweki kweli madawa yalimwaribu akili sababu jamaa hajielewi wala hajitambui kikitokea kitu anachukua muda mrefu kuandika kuwa anaomba msamaha kesho na kesho kutwa anajikuta karudia makosa halafu anaandika tena anaomba msamaha, jamaa katembea na Tunda pia na Amber Lulu pia kachanganya mademu kibao ambao sio wasanii
ReplyDeletetunaombea Mungu tu mtoto asije akawa amezaliwa na magonjwa ambayo hajajitakia kwa umalaya wa baba yake
ReplyDelete