Akiwa na Umri wa Miaka 50, Janeth Jackson Amepata Mtoto wa Kwanza

Janeth Jackson (50)  dada wa marehemu Michael Jackson ni mwanamziki ambaye amekuwa na mafanikio makubwa  kupitia mziki wake, heshima ya mziki wake ikitambulika duniani kote. Lakini jambo moja ambalo amekuwa akitamani maishani mwake ni kupata mtoto. Imeripotiwa kuwa Janeth na mumewe Wissam Al Mana wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume na kumuita Eissa Al Mana
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na mimi nitazaa nikiwa na miaka 40

    ReplyDelete
  2. Hata Wema atazaa akiwa na miaka 75

    ReplyDelete
  3. du Janet Jackson pamoja na kuwa na miaka 50 lakini anaonekana kijana sana yaani mtu ukiwa na hela hautozeeka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad