Baba Amgeuza Bintiye Mwenye Ulemavu Kuwa Mke, Aanza Kumtesa Baada ya Kumtumia na Kumchoka

Habari ya simanzi na kusikitisha wilayani Chunya Mbeya, Baba amemgeuza bintie wa kumzaa mwenye ulemavu kuwa mke. Baada ya kumtumia kwa namna awezavyo, ameanza kumfanyia vitimbi ikiwa ni pamoja na kuanza kumnyanyasa kuashiria kuwa amemchoka.

VIDEO:
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yaani huyu baba hata sio waku ishi tena huyu baba ni apewe ashabu hadi kifo huyu sio binadamu huyu ni mnyama shetani mkubwa yaani natamani nimpate hee huyo angekufa kwenye mikono yangu jamani hebu jiulizeni kweli ni haki binti yako umenyanyase kiasi hiko achukuliwe hatus tena iwe ni kifo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad