Breaking News!! Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Mabalozi Wapya Watano..!!!


RAIS Dk John Magufuli Hii leo amefanya uteuzi wa Mabalozi watano ambao watakwenda kuiwakilisha nchi katika Nchi Mbalimbali Duniani.

Mabalozi hao kama inavyoonekana hapo chini katika barua rasmi kutoka Ikulu wataapishwa kesho Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad