Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa,
Freeman Mbowe amesema kuwa kitendo cha kumkata Waziri Mkuu wa zamani,
Edward Lowassa mkoani Geita kimedhihirisha polisi kutumika na Chama Cha
Mapinduzi wakati wa chaguzi mbalimbali.
Mwenyekiti huyo alisema jeshi la polisi limekuwa likiwakamata na
kuwaweka ndani viongozi mbalimbali wa chama chake kwa shinikizo la CCM
na kuwataka Watanzania kulaani ukamataji huo kwa kuwa ni uhuni wa
kisiasa.
Mbowe ametoa kauli hiyo leo jijini hapa wakati akifungua Kikao cha
Kamati Kuu ya chama hicho kilichohudhuriwa na wajumbe mbalimbali akiwemo
Lowassa pamoja na baadhi ya wabunge.
Mtowe, wahuni WA siasa Ni wakosa sera walioanza kusambaratika kwa spidi ya Baba WA taiga letu. JPJM..Wala usizani kuwa kutakuachia uendelee hivi hivi DENI UTALIPA LA PANGO NA BEN SANANE WETU UTAMWONESHA NA KUTIELEZA MLIFANYAJE MPAKA AKATOWEKA KWA MUDA WOTE MPAKA KUPATIKANA..MKONO WA SERIKARI NI MREFU NA HASA WA AWAMU HII YETU YA TANO...BEN YUKO WAPI????
ReplyDelete