Dr Abdallah Possi ameandika barua ya kujiuzulu ubunge


Dr Abdallah Possi ameandika barua ya kujiuzulu ubunge akisema utakuwa uroho kuwa nje ya nchi na kuendelea kung'ang'ania kuwa mbunge.

Siku chache zilizopita Rais Magufuli alitengua uteuzi wake wa unaibu waziri na kumteua kuwa balozi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad