Duh..Noma Sana ..Ben Pol Ageuka 'Mbogo' Story Kuhusu Mtoto Wake(Video)


Msanii wa bongo fleva Ben Pol amesema hayupo tayari kuelezea sababu ya kuachana na mwanadada ambaye walifanikiwa kupata mtoto mmoja aliyepewa jina la Mali

Akiongea kupitia eNewz Ben Pol amesema kwa sasa hayupo tayari  kabisa kuongelea swala la mwanamke ambaye kwa sasa wameachana  na hayupo tayari kumuelezea mtoto wake na endapo mtu yeyote atahitaji kufanya mahojiano kuhusiana na mtoto wake asubiri mtoto akue ili aweze kumuhoji kuhusiana na maisha yake.

Mtazame hapa:-........

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpumbavu nn sasa kwan angejibu mtoto yupo vzr na mama yake angepungukiwa nn mixeeeww ustaa mavi tu...

    ReplyDelete
  2. NILIKUWA NAKUONA MWANAMUZIKI MSOMI KUMBE BOYA KWANI KUWA NA MTOTO NI DHAMBI WAKATI NDIO UNATAKIWA UJIDAI KUWA WEWE NI MWANAUME KAMILI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad