Duh:Tazama Picha za Hekalu la Mbwana Samatta Analojenga Huko Kigamboni,Ni zaidi ya Hekalu la Diamond..!!

Staa wa Tanzania katika Soka,Mbwana Samatta,ameamua kujenga Hekalu lake kimya kimya Maeneo ya Kigamboni,Imefahamika.


Samatta ambaye anakipiga katika Ligi ya Ubeligiji ,inasemekana ameamua kujenga Hekalu hilo mara baada ya kubomoa iliyokuwa nyumba yake ya awali maeneo ya Kisarawe II.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad