Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema njia ni nyeupe kwa Chadema kuingia Ikulu katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020.
“Kuweni watulivu na mwaka 2020 mjitokeze kupiga kura na kama nitakuwa hai nitakuwa mgombea tena wa urais kupitia muungano wa vyama vya upinzani,” alisema.
Akizungumza nyumbani kwa kada wa Chadema, James Lembeli katika kijiji cha Mseki, Kahama, Lowassa (pichani) alisema ameshindwa kuzungumza na kufanya mkutano na wananchi wa kijiji hicho akihofia kukamatwa na polisi kama alivyokamatwa Geita na kuwataka wawe wavumilivu hadi uchaguzi wa mwaka 2020.
Kadhalika, Lowassa aliwataka vijana wasikubali kuibiwa kura kwa madai uchaguzi uliopita hawakutendewa haki na ndio maana walikosa ushindi.
Ndoto za ALI NACHA
ReplyDeletemwenyewe amesha sema kama Yuko hai..yeye mwenyewe anajijua afya yake na jinsi inavyomsumbua. Sasa Ni mama kwa ajili ya towe itanidi umwambie wazi!! Hapo wanasema unatembea na asili mia 18% za wapiga Kira hicho Ni kilemba cha ukoka. Hawawezi wao ILA wanataka kukutumia kama tissue paper halafu jalalani usikubali wakuue. Nasema waambie kinaga ubaga Mimi na siasa sasa BASI. NARUDI kuchunga na kuangalia Familia yangu.HAPO ITAKUWA UMEWATENDEA HAKI FAMILY 👪 YAKO. KUMBUKA MAGU KWA SPIDI AMENADILISHA TAIGA KIMAWAZO NA KIAKILI NA MIOYO YETU IMEJIRI.HAMTOWEZA KUTUDANGANYA TENA NYIE WATORO NA MAFISADI. MKUMBUSHE TOWE ALIPE MADENI YETU YA MJENGO NA ALIPE KODI ATAHIKI....HAPA KAZI RU
ReplyDeleteHivyo Edo!! wewe huko 2025 kama uko hai .si utakuwa umeshika mkongojo!! Hata kampeni kwe Tv utaweza kuwa na nuru ya macho kuangalia. manake sijui miwani yako kwa sasa namba gani na pempazi za watu wazima uzalishaji utasitishwa 2022. haya yetu masikio...Hapa kazi anapuyanga kuliendeleza Taifa mbele kwa spidi inayozidi siku baada ya siku. Uturuki imeshaingia onboard. Hapa nguvu jasho TU NA BABA JPjM

ReplyDeletehahahaaaaaaaaaaaaa umepwelewa mtu mzima weeeeeeeeeeee
ReplyDelete