⏩ BY @fezakessy - Let's pray for our brothers and sisters who are caught up in drug addiction. Chidi ni rafiki yangu for many years Na Nando mdogo wangu, I will Not Post how they look like Now cos kwangu haijakaa sawa. #MadawaYaKulevya sio mchezo it's time tuache kunong'ona Na tuwe wazi! Hashtags Na Repost won't help jamaniiiii A plan is needed as a society to fight this devil.
Kwa wale ambao wanasema "wakafie mbali" mara "wameyataka wenyewe" let me tell you something;
Kuna watu wamezaliwa Na addictive personality, wanajaribu Mara moja na ndo mwanzo wa kujiuwa, wengine wanajaribu na wanaacha tu so muache kuhukumu watu kama vile nyie ni Mungu. There is nothing fair about addiction wao wenyewe wanakata tamaa.
We need to stop this drug business "Sisi" kama society, we need to teach about it and make our kids fear these drugs, and we also need to love the ones affected, pray for them because huijui Kesho it might come to your house.
Ni hayo tu for now.
kweli umetoa ya moyoni Fezza umefanya vizuri kuandika haya wanahitajika wengi kama wewe, big up
ReplyDeleteHIZO DAWA WANAZIPATAJE WAKATI SERIKALI IPO?
DeleteMimi mwenyewe nashangaa kuwa dawa wanazipataje wakati serikali ipo, mimi naishi majuu vile vile nashangaa madawa yanaingiaje huku majuu wakati Airport siku hizi kuna ulinzi mkali
DeleteSerikali iPo? Hata wewe ni serikali pia unapoona mambo hayaendi sawa katika jamii yako ni kuwabaini wahusika na kutoa tariifa. Hiyo unayosema Serikali ni watu Pia kama wewe kinachoitajika ni ushirikiano kuwabaini hao wahusika wa usambazaji na waletaji, kama ni raia wa kawaida au ni raia viongozi wenye madaraka makubwa katika nchi?
Delete