Freeman Mbowe: Kauli za Rais Magufuli Kagera Hatari

Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani (CHADEMA), ameikosoa hotuba aloitoa Rais Magufuli Mkoani Kagera kwa kusema " Hivi mtu ambae amefiwa, nyumba imebomelewa, hana chakula, hana pesa unakwenda kutoa kauli za kibabe kwamba hutowapa chakula kwakuwa serikali haina shamba! hivyo sio sawasawa"

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tuonyeshe Kwanza Ben alipo.

    ReplyDelete
  2. Nyie watu.mbona mnauza ukweli wa mambo hapa. Msishangsnye Michele n.a. mchana kuissfishia uongozi wa CCM.kwa nini msiulizechombo cha ulinzi Tanzania smbacho kazi yake ni kuilinda Mtanzania n.a. kufanya upelelezi ipasavyo ikatoa jibu.mnafunika ukweli anauuongelea.fikra dunno watanzsnia.hata mkitukanwa mtasema ahsante.ujinga ndio huu.huwezi kutofautisha mambo sababu tu nyinyi ni Wanaccm.no ujinga wa kutupwa.

    ReplyDelete
  3. Nyie watu.mbona mnauza ukweli wa mambo hapa. Msishangsnye Michele n.a. mchana kuissfishia uongozi wa CCM.kwa nini msiulizechombo cha ulinzi Tanzania smbacho kazi yake ni kuilinda Mtanzania n.a. kufanya upelelezi ipasavyo ikatoa jibu.mnafunika ukweli anauuongelea.fikra duni watanzania.hata mkitukanwa mtasema ahsante.ujinga ndio huu.huwezi kutofautisha mambo sababu tu nyinyi ni Wanaccm.ni ujinga wa kutupwa.

    ReplyDelete
  4. Tena mtaumbuka kwa Ben saanane .na Ni lazima mkasaidie upelelezi. Ni hataru mkiendelea kukaa nje na kufifiza ushahidi kama Ai kujaribu kabisa

    ReplyDelete
  5. Sijui Mbowe ameongelea wapi kauli ya JPM Bukoba. Sijasikia kwamba aliitisha press conference.
    .. Nionavyo mimi upinzani TZ ni maigizo tu. "Wapinzani" na hata viongozi wa kinachoitwa "dini" wote wamenyamaza..
    .. Hatuoni tena viongozi wa "dini" wakitoa "WARAKA" na kusomwa ndani ya nyumba za ibada, na kumfokea kiongozi wa nchi hadharani km ilivyokuwa enzi za JK.

    ... Vyama vya wafanyakazi navyo kimyaaa !! Kana kwamba wafanyakazi wana raha zaidi kuliko enzi zile.

    .. Sioni tena migomo ya wafanyabiashara kugomea kodi au Mashine.
    .. Migomo ya wanavyuo nayo imeyeyuka.

    ..NINACHOONA NI KWAMBA WA-TZ WAMEMPATA MTU ALIYEKUWA ANANGOJEWA NA UONGOZI WALIOKUWA WANAUTAKA.... NAHISI KWAMBA "WAPINZANI" NA WA-TZ KWA UJUMLA HAWANA TENA MPANGO WA MABADILIKO NA KUZUNGUSHA MIKONO. BINAFSI NAAMINI HUO NDIO UKWELI NA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU.
    .......NI MTIZAMO TU......

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad