Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018. Anayeshuhudia
kushoto ni Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano
Januari 18, 2018. Anayeshuhudia kushoto ni Jaji Mkuu mstaafu Mohamed
Chande Othman.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi baada ya
kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha
Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan
na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
John Kijazi, Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba Profesa Sifuni
Mchome na Naibu wake Mhe. Amon Mpanju wakiwa katika picha ya pamoja na
majaji wa mahakama ya Rufaa, Majaji wa Mahakama kuu baada ya kumuapisha
Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, katika picha ya pamoja na majaji wa
mahakama ya Rufaa na Majaji wa Mahakama kuu baada ya kumuapisha Profesa
Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar
es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, katika picha ya pamoja na watendaji wa
Mahakama baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu
Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari
18, 2018.
PICHA NA IKULU