Hatarii:Dada wa Diamond Platnumz afunguka kuwa huwa hatongozwaji bali huwa anatongoza..!!!


MWANAMUZIKI ambaye ni memba wa Kundi la WCB, Mwanaisha Abdul ‘Queen Darleen’ aliye  pia dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ametoa kali ya mwaka baada ya kufunguka kuwa katika mapenzi kitu ambacho hakipendi ni kutongozwa na mwanaume hivyo huwa anapenda kutongoza.


Akistorisha na Mikito Nusunusu Darleen, alisema kitendo cha yeye kumtongoza mwanaume anaamini kwamba anakuwa  amempenda kutoka ndani ya moyo wake lakini akitongozwa wakati mwingine wanaume wanakuwa ni waongo hawana nia ya dhati. 

“Katika maisha yangu yote huwa sipendi kutongozwa napenda nitongoze kwa sababu naamini nikifanya hivyo nakuwa nimempenda mwanaume kweli kwani watongozaji wengi ni waongo na ninajijua kabisa  kwamba sina bahati kwenye mapenzi,” alisema.

Download Application ya Udaku Special Blog Kwa Kubonyeza Hapa

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sura yako ya kikorofi pia sababu ya wanaume wa maana kukwepa

    ReplyDelete
    Replies
    1. hujamuelewa sio wanaume wanamkwepa hataki wanaume wanaomtongoza. sura ipo bomba sana!!!!!

      Delete
  2. SURE UMESEMA UKWELI WAKO !!!

    ReplyDelete
  3. Huyu demu anajiamini na sura ni nzuri sana anayo kweli usikubali kutongozwa sio kama akina Wema sepetu kila mtu akimtongoza yeye yumo tu bila hata kujua wanaume hawana mapenzi ya dhati na yeye bali wanaume wanatafuta kiki tu kwake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad