Haya Ndio Majibu ya Mrithi wa Kanumba Kuhusu Lulu ...!!!


KUTOKANA na hivi karibuni mama wa aliyekuwa staa mkubwa wa filamu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa kumwanika kijana Fredy Swai kuwa ndiye mrithi wa mwanaye, msanii wa filamu nchini, Michael Sangu ‘Mike’, alibadilika muonekano usoni baada ya mmoja wa wafanyakazi wa Global publisher alipomuhoji maswali na kumtaka ajibu ndio au hapana.

Mike aliulizwa kama anamawasiliano na muigizaji wa kike Elizabeth Michael ‘Lulu’, alikosa jibu la moja kwa moja na alijibutofuti na maswali aliohojiwa mwanzo, kwa hali ya kujilazimisha alijibu kuwa hana namba ya Lulu huku akionesha hali ya kukosa amani.

Bado haijafahamika kwanini alitahamaki vile kiasi cha kushindwa kufuata sheria za maswali ya ndio ua hapana yeye alitoa maelezo.Akizungumza na Global Tv Online, Mike alisema hana namba ya Lulu na hajawahi kukutana na Lulu na endapo atakutana nae ataongelea kazi tu kwani amekuwa akizifuatilia sana kazi zake na si vinginevyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad