Hii ni Zaidi ya Habari..!!! Ridhiwani Amua Kuanika Maisha Yake ya Nyumbani Mitandaoni,Ona Hapa Anavyofanyaga Akiwa Home Kwake..!!


MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametupia picha mtandaoni ikimuonesha akiwa nyumba kwake huku akitimiza majukumu yake ya malezi na upendo kwa mwanaye yeye akiwa kama baba mzazi.

Ridhiwani ameonekana akimtengeneza nywele binti yake na kutupia picha hiyoa akisindikiza na maneno haya Instagram

Kwa namna moja ama nyingine jambo hilo ni la kuigwa kwani Ridhiwani kupitia picha maneno aliyoandika amewahimiza baba wengine kuwa karibu na watoto wao na kuwasaidia vitu vidogo vidogo wanavyovihitaji kutoka kwa wazazi wao hasa wa kiume ili kuhakikisha wanakuwa katika malezi yaliyo bora na wafikie malengo yao.

@home attending Fatherhood duty while watching H.E Donald Trump taking Oath of the Office.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Baba bora,safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad