Idrisa Sultani Aaamua Kuanika Kila Kitu Jinsi Wema Sepetu Alivyomkausha Milioni 500 Zake za Ushindi wa Big Brother..!!


Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na ukata.

Kupitia kipindi cha Clouds e cha Clouds Tv Idris Sultan amesema wakati yupo kwenye mahusiano yake yaliyopita na mrembo Wema Sepetu alikuwa kwenye Ukata hivyo nilijikuta sifanyi vitu vya maana kuliko
kipindi hiki ambapo yupo Single.

“ Wakati nipo kwenye mahusiano yangu yaliyopita niliyumba kidogo kiuchumi kwani sikuwa nafanya mambo mengi ya muhimu kuliko sasa hivi kwani hata watu wangu wa karibu watakueleza hivyo,nafurahi niko
single na naendelea kupambana“Alisema Idris.

Ikumbukwe idris alishinda tsh milioni 500 za kitanzania kwenye shindano la big brother Africa. Idris sasahivi ni mtangazaji wa choice FM 

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usimsingizie Wema kichwa chako hakijatulia

    ReplyDelete
  2. Bogasi tu Hakuna cha wema wala nini

    ReplyDelete
  3. han alolote uyo.. anajishaua tu kwani alipo uwa had ana do na wasenge akina Davtoe hakujua kuwa pesa itakwisha.

    ReplyDelete
  4. Ndiyo maana wema alinenepa sana kipindi akiwa na huyo jamaa, hela zilivyoisha wema akaamua kusambaa zake

    ReplyDelete
  5. Siyo kweli Wema kakuta hana kitu ndo maana alimkimbia. pesa zilimchanganya mpaka akawa anaimport wanawake toka nje ya nchi. halafatu kuwa na Wema kulikuzuia kufanya kazi? hata kujenga nyumba angalau ya 200M.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad