Je, Trump Ataweza Kuwatuliza Wamarekani? Hali Yaendelea Kuwa Mbaya Mitaani


Ikiwa ni muda mchache baada ya Rais Trump kuapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani, bado wanaompiga wanaendelea na maandamano dhidi yake.

Je, Trump ataweza kuwatuliza na kuwaunganisha wamarekani kabla hali haijawa mbaya zaidi?

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waandamanaji hawana kazi ya kufanya. Trump ni raisi maisha yanaendelea kama kawaida.

    ReplyDelete
  2. Mimi ninaishi hapa USA. Watu wanyumbani walikua wananipigia simu eti tunaangalia rais wenu mpya " Hatumtaki Trump" Sasa mimi ninajiuliza yanawahusu nini?? Mbona mimi sina wasiwasi nae!! Hamumutaki kawakosea nini acheni kuingilia mambo ya siyo wahusu, zungumzieni njaa ingawaje nasikia wengine wanasema hakuna njaa. Mamboya ngoso mwachie ngoso mwenyewe.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad