
Mara baada ya picha hizo kusambazwa, zimekuwa gumzo kila kona kitu kinachowafanya watu wengi kulisubiria
mitaani ambapo litaanza kutoka mwezi ujao (Februari). Kuhusu mkwanja
waliolipwa mpaka kupiga picha hizo bado hauja wekwa wazi ila mtu wa
karibu na Diamond alisema jamaa amevuta mkwanja mnono.
WAANDISHI WA HABARI WENGI NI WAONGO,UMEUNGAUNGA HABARI.F
ReplyDeleteWENYE WIVU WAJINYONGE!!! BRAVO DIAMOND!!! VERY NICE COUPLE!!!!
ReplyDeleteDah Diamond kuwa na Zari chaguo sahihi!!!!
ReplyDelete