Kwa kutumia alphabet "A" mpaka "Z" kuna jambo litagusa ukimwi isipokua X
na Q.
.A=acha ngono zembe,
B=badil tabia sasa,
C=chukua tahadhari kabla ya
hatari,
D=dumu na mpenzi mmoja mwaminifu aliyepima,
E=epuka vishawishi
endelea kusema hapana,
F=fikiri marambili kabla hujafanya ngono,
G=gongo
na vilevi vingine huathiri uwezo wa maamuzi,
H=hakuna utachopungukiwa kwa
kuacha ngono,
I=ishi kwa matumaini kama umeambukizwa,
J=jipende kwanza
jilinde jiamini na jithamini,
K=kondom itakukinga,
L=leo raha kesho
karaha,
M=mapenz si lazma kujamiiana,
N=nenda kapime,
O=ondoa uoga
pima,
P=punguza tamaa,
R=ridhka na ulienae,
S=sindano zisizochemshwa na
vitu vyenye ncha kali usichangie,
T=tulia kwanza tafakari tathmini maisha
yako ya badae,
U=ukimwi upo na unaua,
V=virusi havichagui,
W=wewe ndo
mmiliki wa mwili wako,
Y=yann kuburuzwa and
Z=zoazoa ni hatari sana.