Web

Kudadadeki..Harmonize aanza Kumfukuzia Diamond kwa Mkwanja,Anunua Mikufu ya Dhahabu Mikali Zaidi ya Mikufu ya Diamond,(VIDEO)

Top Post Ad


Katika kudhihirisha naye zimo,Staa kutoka label ya WCB,Harmonize ameanza kumwaga manoti ovyo katika matumizi mbalimbali anayoyafanya.

Harmonize ambaye hivi karibuni inasemekana kuwa Amemwagana na Wolper,Aliingia katika duka la sonara na kununua vito vya thamani kubwa vya rangi ya dhahabu kama vile pete,saa na mkufu .

Haikuweza kufahamika mara moja gharama alizolipa staa huyo,ila inakadiriwa si chini ya milioni 10 ili kufanikisha manunuzi hayo.


Below Post Ad

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MMEKOSA CHA KUANDIKA, KILA SIKU MNABADILISHA MUONEKANO WA BLOG YENU ILI IONEKANE BORA KULIKO GLOBAL PUBLISHER, KUMBE NDO MNAARIBU

    ReplyDelete
  2. UJINGA,DAIMOND AMEANZA KUFANYA HIVYO BAADA YA KUMILIKI NYUMBA KADHAAA.MILIONI 10 SI HATA ANGEENDA KUMALIZIA NYUMBA KULE KWAO

    ReplyDelete