Muigizaji wa filamu nchini mzee Majuto amefunguka na kusema kuwa mwaka
2017 amepanga kufanya mambo matatu ambayo yote anataka yaende pamoja.
Jambo
la kwanza ni kuhusiana na sanaa yake ambapo amepanga kwa mwaka huu wa
2017 kuhakikisha kazi zake za sanaa anazisambaza mwenyewe na kuachana na
wasambazaji wengine.
Mzee Majuto amesema jambo la pili katika mwaka huu ambalo pia atalifanya sana ni kuhakikisha ana mcha Mungu sana na jambo la mwisho ni kufanya kilimo na ufugaji ili kijiongezea kipato chake.
"Mwaka huu nimepanga mambo matatu kwanza kumcha Mungu sana, kuigiza kama kawaida na mwaka huu nataka kazi zangu nizisimamie mweyewe kusambaza na kuachana na wasambazaji wengine katika kazi zangu lakini jambo lingine kulima na kufanya ufugaji, maana saizi nimejiunga na mtandao wa kijani, nafuga Sungura, nalima mchai chai" alisema Mzee Majuto

hujachelew!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete