Lowassa - Kama Rais Hataki Kutoa Chakula ,Chadema Tutaoa Chakula kwa Wenye Njaa...!!!


Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Mhe Edward Lowassa akiwa na mbunge wa Bukoba mjini wameudhuria ibada katika kanisa la KKKT. Akiwa kanisani Mhe Lowassa ametoa kauli.


''Mh rais amesema hatatoa chakula. Mimi nimewasiliana na chama changu tumeona tuwape chakula watanzania. Naamini dunia itasikia'', alisema Lowassa.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lowassa, Hutukukupa kura zetu kwa Maana. Sasa kama unajidanganya kuwa hili unalo zungumza labda lita tughilibu akili zetu ili kama utakua Hai huko 2025 labda tukufikirie lakini sijui utakuwa na Umri upi na utasimama na tiketi ya chama gani? iliPls Do that.. its Noble upate ulaji... jua Magu atakuwa amesha libadilisha Taifa kimoyo na kiakili. utaambulia patupu. Kama una hela MSAIDIE MKUBWA WAKO ALIPIE MJENGO ILI TUWAWEZESHE NHC kumudu miradi na mikakati yao na kuonesha Uzalendo kwa kulipa madeni... Hapa ni Kazi tu na Mafisadi na wapingaji ukweli ni wacheleweshaji..JPJM Ameshasha washtukia....NIA NA LENGO LETU NI KUIONA TANZANIA MPYA NA KILA MTU AWAJIBIKE NA AZALISHE..

    ReplyDelete
  2. Lowassa, Hutukukupa kura zetu kwa Maana. Sasa kama unajidanganya kuwa hili unalo zungumza labda lita tughilibu akili zetu ili kama utakua Hai huko 2025 labda tukufikirie lakini sijui utakuwa na Umri upi na utasimama na tiketi ya chama gani? iliPls Do that.. its Noble upate ulaji... jua Magu atakuwa amesha libadilisha Taifa kimoyo na kiakili. utaambulia patupu. Kama una hela MSAIDIE MKUBWA WAKO ALIPIE MJENGO ILI TUWAWEZESHE NHC kumudu miradi na mikakati yao na kuonesha Uzalendo kwa kulipa madeni... Hapa ni Kazi tu na Mafisadi na wapingaji ukweli ni wacheleweshaji..JPJM Ameshasha washtukia....NIA NA LENGO LETU NI KUIONA TANZANIA MPYA NA KILA MTU AWAJIBIKE NA AZALISHE..

    ReplyDelete
  3. Lowassa, Hutukukupa kura zetu kwa Maana. Sasa kama unajidanganya kuwa hili unalo zungumza labda lita tughilibu akili zetu ili kama utakua Hai huko 2025 labda tukufikirie lakini sijui utakuwa na Umri upi na utasimama na tiketi ya chama gani? iliPls Do that.. its Noble upate ulaji... jua Magu atakuwa amesha libadilisha Taifa kimoyo na kiakili. utaambulia patupu. Kama una hela MSAIDIE MKUBWA WAKO ALIPIE MJENGO ILI TUWAWEZESHE NHC kumudu miradi na mikakati yao na kuonesha Uzalendo kwa kulipa madeni... Hapa ni Kazi tu na Mafisadi na wapingaji ukweli ni wacheleweshaji..JPJM Ameshasha washtukia....NIA NA LENGO LETU NI KUIONA TANZANIA MPYA NA KILA MTU AWAJIBIKE NA AZALISHE..MAFISADI NA UFISADI HATUUTAKI!!!!!

    ReplyDelete
  4. kama nakumbukumbu nzuri ulisema utarudi kuchunga NGOMBE KIJIJINI. ANAE KUWEKA MJINI NI NANI?? ANGALIA AFYA YAKO MWENZANGU NI BORA KULIKO USHAWISHI. HAWA WANAKUTUMIA MUULIZE SLAA. UNAHITAJI FAMILIA YAKO NA WAO WANAKUHITAJI. AMKA EDO!!!

    Lowassa, Hutukukupa kura zetu kwa Maana. Sasa kama unajidanganya kuwa hili unalo zungumza labda lita tughilibu akili zetu ili kama utakua Hai huko 2025 labda tukufikirie lakini sijui utakuwa na Umri upi na utasimama na tiketi ya chama gani? iliPls Do that.. its Noble upate ulaji... jua Magu atakuwa amesha libadilisha Taifa kimoyo na kiakili. utaambulia patupu. Kama una hela MSAIDIE MKUBWA WAKO ALIPIE MJENGO ILI TUWAWEZESHE NHC kumudu miradi na mikakati yao na kuonesha Uzalendo kwa kulipa madeni... Hapa ni Kazi tu na Mafisadi na wapingaji ukweli ni wacheleweshaji..JPJM Ameshasha washtukia....NIA NA LENGO LETU NI KUIONA TANZANIA MPYA NA KILA MTU AWAJIBIKE NA AZALISHE..MAFISADI NA UFISADI HATUUTAKI!!!!!

    ReplyDelete
  5. kama nakumbukumbu nzuri ulisema utarudi kuchunga NGOMBE KIJIJINI. ANAE KUWEKA MJINI NI NANI?? ANGALIA AFYA YAKO MWENZANGU NI BORA KULIKO USHAWISHI. HAWA WANAKUTUMIA MUULIZE SLAA. UNAHITAJI FAMILIA YAKO NA WAO WANAKUHITAJI. AMKA EDO!!!

    Lowassa, Hutukukupa kura zetu kwa Maana. Sasa kama unajidanganya kuwa hili unalo zungumza labda lita tughilibu akili zetu ili kama utakua Hai huko 2025 labda tukufikirie lakini sijui utakuwa na Umri upi na utasimama na tiketi ya chama gani? iliPls Do that.. its Noble upate ulaji... jua Magu atakuwa amesha libadilisha Taifa kimoyo na kiakili. utaambulia patupu. Kama una hela MSAIDIE MKUBWA WAKO ALIPIE MJENGO ILI TUWAWEZESHE NHC kumudu miradi na mikakati yao na kuonesha Uzalendo kwa kulipa madeni... Hapa ni Kazi tu na Mafisadi na wapingaji ukweli ni wacheleweshaji..JPJM Ameshasha washtukia....NIA NA LENGO LETU NI KUIONA TANZANIA MPYA NA KILA MTU AWAJIBIKE NA AZALISHE..MAFISADI NA UFISADI HATUUTAKI!!!!!

    ReplyDelete
  6. eDO, kWANI sHADEMA WANA mASHAMBA YA CHAKULA? AU WANATAKA kULA.. AU WANATAKA KULISHA.. MIE HUWA SIELEWAGI HALAKA HALAKA. EMBU TUELEWISHANAGE.

    ReplyDelete
  7. MBONA MNAMCHOMEKEA WAZILI MKUUU MSTAAFA NA MAFAO YAKE YAPO SELIKALINI.. SIJUI ANALIPWA NGAPI MPAKA ALISHE WANANCHI WA WAPI VILE??

    ReplyDelete
  8. Enter your comment...tunakuelewa mzee lakini sio kwa uongozi ambao umekosa misingi ya demokrasia na hao wanaosema juu ya afya yako kuwa dhaifu naamin watatangulia mbele za haki kabla yako mungu akutie nguvu 2020 usimame kutetea wanyonge kama wenzetu wa kagera walionyimwa riziki yao

    ReplyDelete
  9. Wote mnaomponda lowasa ni mafara tu,,,,, mtu unakurupuka tu na kuanza kumshutumu mzee wa watu yeye sikatoa kiroho safi linalo wauma ni nini,,, kwa wenye njaa yeye na chama lake watatoa chakula sasa mbaya hapo ni nini jamani, watanzania tujifunze kufurahia mambo mazuri yanayo fanywa na mtu yeyote halo ndipo tutakuwa na maendeleo,,, wewe unaemponda lowasa,, magufuri kafanya nini labda lililo kunufaisha mpaka sasa. Amenunua ndege na Ana mpango wa kuongeza ndege nyingine ambapo wewe fara fara hizo ndege unazionaga tu kwenye tv,,, sasa kakunufaisha na nini. Alafu mnamuita raisi wa wanyonge kivipi yaani.akati hakuna hata moja alilofanya kuwasaidia wanyonge. .. Watanzania tujifunze kukubali pale tunapokosea,, ili tuweze rekebishwa tusikaze saana akili. Magufuri anazingua ukweli ndo huo

    ReplyDelete
  10. Tunaamini kuwa katika vitabu vyote vinasema. Ukito mkono huu basi mkono wa pili usijue. Je Haya ya kujinadi na kusema katika mitandao si kutafuta kiki tu!! Huu mchezo umeshapitwa na wakati. Kama unania wala usijitangaze Peleka Malori yako 200 na ugawe kwa waathirika kama wapo na wanahitaji na siyo wapiga Dili kesho wauze Sokoni. Kinya kimya..Kama umeliafiki Fanya kweli!! Siasa nyingi hatuzitaki. na si wakati wake.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad