Jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime na Rorya limewakamata Mangariba 11 katika wakituhumiwa kuhusika na vitendo vya ukeketaji watoto wa kike zaidi ya 800.
Mkuu wa Wilaya ya Tarime amesema kuwa vyombo vya dola vinaendelea na msoko wa Mangariba wengine wanao daiwa pia kuhusika kufanya ukatili huo.
Oh God wanusuru watoto wa kike na hicho kilema cha maisha
ReplyDelete