Mangariba 11 Mikononi mwa Polisi kwa Ukeketaji Watoto wa Kike


Jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime na Rorya limewakamata Mangariba 11 katika wakituhumiwa kuhusika na vitendo vya ukeketaji watoto wa kike zaidi ya 800.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime amesema kuwa vyombo vya dola vinaendelea na msoko wa Mangariba wengine wanao daiwa pia kuhusika kufanya ukatili huo.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Oh God wanusuru watoto wa kike na hicho kilema cha maisha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad