MAX 'Mimi Nitaacha Kutoa Machozi Kwa Ajili ya Young Dee, Anguko la Pili Huwa Mara Dufu ya Anguko la Kwanza'
3Udaku SpecialJanuary 03, 2017
Meneja wa Young Dee na Mmiliki wa Studio za Authentic siku yakuzaliwa kwa Young Dee aliandika Haya kwa Uchungu akiashiria kuwa Msanii wake huyo ameanza kupotea tena kwenye Madawa ya kulevya baada ya kuhaidi kuacha:
Young D anatumia madawa ndiyo yanamfanya achanganye mademu, mara na Tunda mara na Amba Lulu na sasa mama baby Wake nimeona video Amber Lulu alikuwa nyumbani kwa Young D na baby mama Wake Amber Lulu kamshika mtoto wa Young d huku akimchana Tunda na Tunda alipopigiwa simu akawajibu wasimfananishe na vitu vya ajabu du nilicheka sana mrembo Tunda umewajibu vizuri sana kwani Amber Lulu na baby mama wa Young D wote hao kwa pamoja hawakupati na urembo ulio nao uko mrembo na pia una sauti nyororo nzuri, sio kama amber Lulu anaongea kama ana chakula mdomoni. mrembo Tunda tafuta boyfriend mzungu sababu wasichana wenye sura nzuri kama wewe wanapendwa sana na wazungu wewe Tunda ungekuwa Ulaya wazungu wangekupenda sana
Bila shaka wewe ni Tunda. Unajifagilia eti mzuri!!! Kwa uzuri gani ulionao wewe??! Chezea tu usichana wako. Fainali uzeeni. Bora uyo aliyezaa kuliko nyie mnaotoa mimba. Mtakuja kuisoma namba. Mfyuuuuuuu!
Young D anatumia madawa ndiyo yanamfanya achanganye mademu, mara na Tunda mara na Amba Lulu na sasa mama baby Wake nimeona video Amber Lulu alikuwa nyumbani kwa Young D na baby mama Wake Amber Lulu kamshika mtoto wa Young d huku akimchana Tunda na Tunda alipopigiwa simu akawajibu wasimfananishe na vitu vya ajabu du nilicheka sana mrembo Tunda umewajibu vizuri sana kwani Amber Lulu na baby mama wa Young D wote hao kwa pamoja hawakupati na urembo ulio nao uko mrembo na pia una sauti nyororo nzuri, sio kama amber Lulu anaongea kama ana chakula mdomoni. mrembo Tunda tafuta boyfriend mzungu sababu wasichana wenye sura nzuri kama wewe wanapendwa sana na wazungu wewe Tunda ungekuwa Ulaya wazungu wangekupenda sana
ReplyDeleteBila shaka wewe ni Tunda. Unajifagilia eti mzuri!!! Kwa uzuri gani ulionao wewe??! Chezea tu usichana wako. Fainali uzeeni. Bora uyo aliyezaa kuliko nyie mnaotoa mimba. Mtakuja kuisoma namba. Mfyuuuuuuu!
Deleteuyo Tunda ni Malaya sana anajiuza kama pipi kijiti, mpeni pole.......
ReplyDelete