Mchungaji Ahubiri Akiwa Kabebwa Mgongoni

Makanisa Siku hizi Usanii Mtupu embu angalia huyu Pastor, Hatakiwi kukanyaga chini akiwa anatoa mahubiri..Anabebwa au kupanda migongoni mwa waumini....
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli wajinga ndiyo waliwao swali je akienda chooni kunya huyo mtapeli anayejiita "pastor"huwa pia anabebwa na mkewe mgongoni au?

    ReplyDelete
  2. Acheni hizo za kuiwabia watu kimachomacho kwa kutumia jina la Mungu what goes around comes around kuna siku mtaadhirika one after the other matapeli wakubwa

    ReplyDelete
  3. Kila siku nawaambia badilisheni dini nyie mmeona wapi msikitini akabebwa mtu amkeniiiiii mnapotea.

    ReplyDelete
  4. Au katumwa na mganga wake

    ReplyDelete
  5. Freemason hata usemi vip hawatakuelewa.

    ReplyDelete
  6. Lilitokea kanisa la ufufuo na watu wakawa wajinga wakatapeliwa na mpaka leo hamna mtu aliyefufuka lakini bado tu na ujinga wao bado watu wanaenda kwenye hilo kanisa gwajima ingebidi afungwe jela kwa kula hela za watu bure halafu sasa linakuja hilo kanisa la pastor kubebwa mgongoni na watu walivyo wajinga eti wanaenda kwenye hilo kanisa kuona huyo mpuuzi pastor akibebwa kweli watanzania ni watu wa kwanza kudanganywa duniani

    ReplyDelete
  7. Hata yesu hakubebwa mgongoni

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad