MPANGAJI Mwenzangu Ananitega Kila Akiniona Ananigeuzua Wezele Lake

Huyu ni mpangaji mwenzangu, ameolewa nami nina mke, kwa siku kadhaa mke wangu ambae nampenda sana yuko likizo hivo kila nikurudi au napokuwa nafanyafanya vishughuli vya hapa nyumbani huchukua nguo na kuanza kufua huku akiwa ameelekeza kwangu wowo lake kama inavoonekana kwenye picha hii.

Sasa naombeni ushauri maana nahisi mwaka huu mpya sitaweza kuvumilia huu ujinga, lakini kabla ya yote naomba ushauri 
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha fikra za kizushi yatakutokea puani ujute baadaye fikiria wewe mwenyewe ingekuwa mtu mwingine anaelezea upuuzi wako kuhusu mkeo na ukizisikia hizo habari ungejisikiaje?Fikiria kwa kina kabla ya kuropoka na hizo story zenu za ajabu ajabu badala ya kuandika mambo ya muhimu mmekaa ofisini kwenu mnakuja na haya shenzi type

    ReplyDelete
  2. Mchupi unanuka ubwabwaaaa n.a. mukojooo

    ReplyDelete
  3. Unasema kuwa unampenda sana mke wako. Sasa unataka ushauri gani??

    ReplyDelete
  4. mhhh.. upuuzi huu hatuutaki katika mitandao. leteni habari za kuhamasisha umma kufanya kazi na kujenga maadili mema. hapo hatutofikia stori kama hizi za kipumbavu. TUBADILIKE KIMAWAZO NA MWELEKEO.

    ReplyDelete
  5. mhhh.. upuuzi huu hatuutaki katika mitandao. leteni habari za kuhamasisha umma kufanya kazi na kujenga maadili mema. hapo hatutofikia stori kama hizi za kipumbavu. TUBADILIKE KIMAWAZO NA MWELEKEO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad