Mzee Mwenye Wake 86 Afariki Dunia..!!


NIGERIA: Mzee mmoja(93) aliyekuwa na wake 86 na watoto zaidi ya 170 amefariki dunia kwa maradhi ambayo hayajawekwa wazi.

Mzee huyo ambaye ni Mhubiri wa zamani wa dini ya Kiislamu nchini Nigeria alikuwa akiwaambia Wanawake hao kuwa Mungu alimuagiza kuwaoa.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu mzee hakuwa muislamu, waislamu wameruhusiwa kuowa mwisho wake wanne tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad