Neno Gani Linaumiza Zaidi Kutoka Kwa Mpenzi Wako Unaempenda Kwa dhati Kati ya Haya:-


Neno Gani Linaumiza Zaidi Kutoka Kwa Mpenzi Wako Unaempenda Kwa dhati Kati ya Haya:-

1. Tuachane,
2. Sikutaki tena,
3. Nimepata mwngne,
4. Mbona king'ang'anizi wewe?,
5. Sikupendi,
6. Wazazi wangu hawakutaki,
7. Siwezi kuwa na wewe,
8. Kwako nilikosea njia tu,
9. Huna mvuto naona aibu,
10. Najuta kuwa na ww,
11. Huwezi kunihudumia fuata wajinga wenzio,
12. Wewe sio type yangu,
13. Dini zetu ni tofauti hivyo siwezi kuwa nawe...

FUNGUKA HAPA MDAU
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna hata moja kati ya hilo linalomuumiza mtu wa aina yoyote ile. Akiyasema hayo maneno wewe ni nyuma geuka anza. Na tena kimbia vibaya mno na usiangalie nyuma.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad