NINI Kimemkuta WEMA Sepetu....Afuta Picha Zote Kwenye Account ya Instagram


Nini tena kimemkuta malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu? Ama labda ameamua kutoingia mwaka 2017 kwa kumbukumbu za mwaka 2016?

Ni kwa sababu mrembo huyo ameamua kufuta picha zote kwenye akaunti yake ya mtandao wa Instagram yenye followers milioni 2.5.


Japo haijajulikana sababu ya kuamua kufanya hivyo, uwezekano kwamba ameamua kuukaribisha mwaka mpya kwa kupost picha mpya ni mkubwa.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si kaamua tu sasa nayo mumeona habar

    ReplyDelete
  2. Wema kapotea siku hizi hajulikani alipo, ni vizuri Wema kufanya hivyo kukaa mbali na media japo kwa muda maana ilikuwa ni kila siku mitandaoni usiwape watu nafasi kukuandika kila siku wewe jifiche tu kwani ni vizuri kwako kuwa watu leo wanakosa cha kuandika kuhusu skendo zako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad