Zitto ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini ametoa msimamo wa kujiuzu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook na Twitter.
“Serikali ya CCM ikinionesha tani 1.5 milioni za chakula ambazo inataka kusambaza, najiuzulu Ubunge mara moja. Narudia, mpaka Oktoba 2016 kulikuwa na nafaka tani 90,400 tu kwenye maghala yote ya NFRA.
“Tunashukuru kuwa Hivi sasa ajenda ya tishio la njaa inapata majawabu na matamko. Ndio wajibu wa vyama vya siasa. Kuibua masuala
mtukufu rais wetu embu sikiliza na wenzio acha kubeza kila jambo
ReplyDeleteWewe karani WA mabohari WA kujitakia..unajifanyanya kwa ufafanuzi potofu na kujipa kazi yako Ni kuibua!! Kiba nini waladi nyinyi wapiga DILI..NA WATUMIWAJI VIBARAKA WA KULETA AJENDA ZILIZOJIFICHA...RUDI KWENU SISI TUMESHAKUCHOKA..KAJICHIMBIE ..AU TAFUTA CHA HALALI KWA KUCHAPA KAZI..ULIZOEA DILI UKATAJULIKA NASIJIA UMEKUNYWA MPAKA ZA NSSF..LUDI KWENU NALUDIA.
ReplyDelete