Obama Awaaaga Wananchi wa Marekani kwa Barua Hii..!!!


Muda Mfupi Uliopita Aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama aliwaandikia barua wananchi wote wa Marekani kwa kuwashukuru kwa kipindi chote alichokuwa Rais wao.

Obama katika barua hiyo ameweka wazi furaha yake kwa kumaliza miaka yake 8 ya kukaa madarakani .

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mngetutafsiria hicho kimombo kwenye lugha yetu ya kiswahili ili na sisi tusiojua kimombo tuielewe hiyo barua ili/imeandikwa nini au na nyinyi waandishi pia kimombo hakipandi nini?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad