Oh Noooh:Tazama Video Masanja Akiongea Maneno ya Kumkufuru MUNGU Hadharani...!!!


Katika Hali Isiyo ya Kawaida,Staa wa Vichekesho Nchini,Masanja Mkandamizaji amejikuta akimkashifu Mungu wakati alipokuwa Mc katika moja ya sherehe za harusi Jijini Dar es Salaam.

Masanja ambaye pia ni Mchungaji,na mjasiriamali alisikika akinukuu wimbo wa kwaya ya Ambassador of Christ ya Rwanda,unaoitwa 'Kwa nini Umeyaruhusu Haya"

Akiwa katika kuuimba wimbo huom,Ndipo Masanja akajikuta anamkufuru Mungu kwa maneno hayo(Tazama Video Clip hapo Chini Kujionea Mwenyewe)

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mshamba hana mpango anasahau alitokea wapi alikuja mjini amevaa kaptula ya khaki ina viraka kibao matakoni sasa anajifanya mjanja mtoto wa town

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata wewe umetokea huko,na kama sio wewe basi mzazi hata babu yako.

      Delete
  2. Kitambo sana hiyo Hamna jipyaaa

    ReplyDelete
  3. ya zamani sana hiyo udaku hamna jipya

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad