RAIS Magufuli Asisitiza Serikali Haitawajengea Nyumba Wananchi Walioathirika na Tetemeko


BUKOBA: Rais Magufuli asisitiza Serikali haitawajengea nyumba wananchi walioathirika na tetemeko

Asema hakuna nchi duniani imejenga nyumba za wananchi baada ya kukumbwa na tetemeko.

Aitaifisha shule ya Omumwani iliyokuwa ikimilikiwa na jumuiya ya wazazi(CCM).
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli kabisa Muheshimiwa Rais,iko misaada inayotolewa kama chakula,dawa,mazishi,lakini sio kujengewa.Ukweli sijaona kote duniani serikali Zao zikijenga nyumba za waathirika,ni matajiri ndio wanajitolea kujenga kwa walioathirika sana.
    Hata marekani kwenyewe walijitolea wakina Opra na wengine kuwasaidia wahanga wa kimbunga serikali haikufanya.TUSIDANGANYWE NA WANASIASA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad