
Mwana Hip Hop mkali Roma amewafungukia Madee na Nay wa Mitego kwa Ugomvi wao wa Kugombania nani ni Rais wa Manzese..
Ameandika haya:
BY @roma2030 - Oyaaaaah!! Sililizeni Nyie
Mnatuchosha Bana na Vimaneno maneno vyenu kila saa kwenye Radio Zetu....Ili Mradi tu Mvikikishe #vinyimbo vyenu mlivyoachia!!!
Mbona #Sisi_Tumetulia_tu. Na tumeachia Dude.
😉😉😉😉😉😉😉😉 #SASA_NASEMAJEEEEE
Nyie Si Mnaigombania #MANZESE!!??? Sasa nataka Nyote wawili Madee na Nay
Mlitamke hilo neno MANZESE atakayelitamka vizuri kwa kulipatia ndio
MWENYE MANZESE YAKE.😂😂 Aaaaf Andaeni #Pambano mimi #Refa