Serikali Yaagiza Waliomchapa Viboko Mwanamke Mbele za Watu Wachukuliwe Hatua


Serikali imeviagiza vyombo vyake vya kiuchunguzi kufuatilia chanzo cha picha inayoonyesha mwanamke mmoja akichapwa viboko mbele ya mkutano.

Aidha vyombo vya dola vimetaiwa kufanya uchunguzi ndani ya muda mfupi na kutoa taarifa rasmi na Serikali haitasita kutoa adhabu kali kwa wote waliohusika.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiyo mijitu si binadaam sababu wangeweza hata kumuua huyo mwanamke lakini hata haijali kweli serikali lichukulieni hili swala haraka sana hao lazima wakamatwe na wafungwe kwani hao ni tishio kwa raia wengine ingekuwa Ulaya watu kama hao wangeshakamatwa na wangekuwa wameshafungwa sababu huo ni unyanyapaa wa hali ya juu zidi ya wanawake hamna mwanamke yeyote anayestahili kupigwa namna hiyo hata akikosa nini, serikali fanyieni kazi hao lazima wakamatwe!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad