Shaffii Dauda Apita Katika Jumba la Diamond Nchini South Afrika na Kuandika Haya


BY @shaffih - Nikiwa njiani#afcon2017gabon nimekutana na @diamondplatnumz kwenye flight moja,connection ya another flight to Libreville-Gabon ilikuwa ni baada ya masaa 7,akanikaribisha nyumbani kwake kupata chai ikiwa ni pamoja na kusalimia kidogo familia yake ambayo inaishi hapa Pretoria-SA, asante sana shemeji @zarithebosslady pamoja na bi mkubwa wetu Sandra. Photo credit @kendrah_michael. Now on our way to Gabon!!!

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumbe zari kifupi alafu kibonge hizi ndio picha zake za kweli siyo zile anazoEDIT na kutuwekea

    ReplyDelete
  2. Kwani akiwa mfupi kuna kosa gani? Yeye ni mwanamke kwa hiyo akiwa mfupi ni sawa kabisa mbona kule Asia watu wengi ni wafupi na wazungu wengi wanaume wanaenda Thailand kuoa hao wanawake wafupi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad