TANZIA: Bongo Movies Wapata Piga la Kuondokewa na Mmoja wao


Muigizaji  kijakaz pazi shabani (ZAMZAM) Amefariki jana mkoani kigoma

Mwili wake unasafirishwa kuja mkoani Dar city

Msiba upo Sokota karibu na sheli. Temeke

Kwa wale.waliomsaau  alikuwa kundi la kidedea alicheza tamthilia ya  mchezo wa kidedea yeye na marehemu Tabia baba yao alikuwa mzee jengua,

Nawaomba wasanii wote tujumuike kwa pamoja kwenye msiba tukawafariji wafiwa

Taratibu za mazishi tutataarifiana
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. du bongo Movie wanaisha wanaondoka mmoja baada ya mwingine. R.i.p

    ReplyDelete
  2. upumzike kwa amani

    ReplyDelete
  3. upumzike kwa amani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad