Tazama Video ya Rais Magufuli Akihutubia Kwa Kiswahili Kwenye Mkutano wa Viongozi wa Afrika..!!!




a

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwalimu Nyerere Hakutoa ardhi kubwa Kwa Wageni. Hakutoa sehemu kuu za uchumi kama mbuga za Wanyama zimilikiwe na Wazubgu, Hakutoa umiliki madini kwa Wazungu. Alisema, siwezi kuweka mikataba hii wakati Watanzania wenzangu kielimu bado hatujafikia hapo. Pia alisema Wazi Ardhi, madini, maziwa na mito ni mali ya Wananchi. Na mataifa makuu wakatutema na kutuacha bila msaada wowote. Walijua Wanamkomoa Nyerere na Watanzania. Baada tu ya uhuru aliposema siwezi kusaini mkatapa tukapata asilimia kumi, au ishirini tu ikiwa ni mali zetu. Je tunapomuenzi leo hii kwa maneno, Vitendo vinaendana na haya maneno? Watanzania wenzangu, Tumeona migogoro mingi ya ardhi, gesi, na madini yanavyotolewa kwa kijanja na Wageni wanaotengeneza viwanda, barabara, wamiliki wa maeneo ya mbuga za wanyama. Je tumemhusisha Mtanzania kijijini na kushiriki kwenye maamuzi ya ardhi yao, madini yao, mito yao au watu wa juu kwa niaba wamefanya hivi na kuingiza maslahi yao binafsi. Mwalimu Nyerere alikataza Watumishi wa serikali kujiingiza kwenye secta binafsi kibiashara, Je tunaienzi hiyo?
    Tanzania imejaa maneno mengi ya Kumuenzi Nyerere lakini utekelezaji haupo. Hii ndiyo inayoigawa Tanzania leo. Ubinafsi wa viongozi serilalini.
    Tukae chini kwa Pamoja kama kweli tunamuenzi mwalimu, Tuyatatue haya kwa Pamoja badala ya kulitumia tu jina lake. Tupatieni uhuru wa kulizungumzia swala hili.
    Ahsanre Mheshimiwa.

    ReplyDelete
  2. Rais mchapa kazi, mpenda maendeleo na mzalendo halisi mungu ampe afya njema na amlinde na maadui wake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kua kifikra uone ukweli. Je anamuenzi kwa vipi.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad