Trump Aiga Kila Kitu Kutoka kwa Magufuli,Haya Hapa Mambo Manne Aliyoyaiga Harakaharaka..!!!


Rais mteule Marekani ameonekana kufuata nyayo za Magufuli katika kuwatumikia wananchi.Rais John Pombe Magufuli ni rais anayekosa usingizi kwa kupigania maisha ya wanyonge bila kutaka kuwafurahisha baadhi ya watu.Tabia hii hata Trump anayo.


Kuna maeneo mengi misimamo ya viongozi hawa inafanana.Hii ni mifano michache..

1.KUBANA MATUMIZI
Viongozi wote hawa wameonesha nia ya kubana matumizi.JPM; ameokoa pesa nyingi holela kama safari za nje, posho, sherehe zisizo na tija na matumizi mengine holela, pesa hizi zimeelekezwa kwenye maendeleo .Trump; amezuia pendekezo la kununua ndege mpya ya rais yenye thamani ya trillion 8 za Kitanzania , pia anafikiria USA kuacha kutoa pesa kwa majeshi ya NATO.

2.UCHOCHEZI WA VYOMBO VYA HABARI
Viongozi wote hawa wanakerwa na uzushi na uchochezi wa vyombo vya habari katika nchi zao.Tumeona JPM alivyokerwa na magazeti mawili yanayohatarisha mustakabali ya amani yetu akiwa ziarani Shinyanga.Hali hiyo pia tumeiona kwa Trump alipokuwa anaongea na waandishi wa habari kwa kukituhumu kituo cha televisheni cha CNN kwa kutoa HABARI za uongo na uzushi.

3.KUSIMAMIA UKWELI NA KUJIAMINI.
Viongozi wote hawa hawana unafiki wala hawafanyi kazi ili wapendwe.Mara nyingi husimamia haki na ukweli.JPM ; amejitoa kupigania maisha ya Watanzania masikini, amekuwa mkweli siku zote na wala haongozi nchi kuwaridhisha mafisadi wachache na kuwaumiza wananchi wengi.Siku zote yeye husema ukweli.Trump; yeye pia hataki ujinga amekuwa akitoa kauli zenye ukweli kwa mustakabali wa Wamarekani.

4.VIWANDA NA UWEKEZAJI
Viongozi wote hawa wana nia thabiti ya nchi zao ziwe na viwanda vingi.JPM; ameweka mazingira rafiki kwa wawekezaji kujenga viwanda vingi , vile vile kuwa na mipango ya kuzuia kuingia bidhaa kuingia nchini kiholela .Trump; amepinga hatua ya wawekezaji kujenga viwanda Mexico ili wapate cheap labour na kuifanya Marekani soko la bidhaa zinazotengenezwa Mexico.

Kwa hiyo inabidi viongozi hawa wawe karibu sana kwani wote wana sifa zinazofanana katika kuwatumikia wananchi wanyonge.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Trump ameminya huru wa msgazeti. Msgazeti ni c hombo p ekee huru finish I kinachotoaboa sir I nyingi zilizojificha ndani. Magazeti ysnauhuru wa kuusikia mambo ili watu wabaini mambo ambayo wengi wadingeyajua. Laughs ya Trump ni unable. Hayupo nadhifu. No aibu kwa kiongozi wa Taifa kama marekani kuongea kwa my info kama huu n.a. mataifa m engine yakidikiliza. No dictata,.anazungumza kwa tsifa kama anavyozungumza n.a. familia yske nyumbani apendavyo. Hui ni ubabe mtupu n.a. ni aibu kwa nchi kama ya marekani.yeye mwenyewe hajslipa kodi miaka mingi. Hapa u nasema anatetea wanyonge we hujui ya ndani zaidi.kwa miaka yote anamanufacture nje us Marekani jioni kama ni uongo.kazi elfu moja kukomoa wawati halipi vibarua, halipi kodi, amepunguza kodi kwa mashirika n.a. matajri wa juu wanaopinga u sawa kwa kila mtu kuwa n.a. health care, mshahsra ya chini sana kwa vibarua, unacholonganisha n.a. kukianfika ni kujifurahisha n.a. kutokusema ukweli , kuwspumbaza watu wa chini w asio n.a. uwezo wa juu wa kufikiri n.a. k uona ukweli wa mambo kamili. No dictata wa kumwogopa n.a. ni mlopokaji wa mambo bila kufiki.Kiongozi wa ngazi za juu kama huyu inabidi achunge mdomo, afikiri kwanza kabla ya kububuja maneno n.a. kutweet kama mtu wa kawaida.hajui ukuu wa kazi yake na sustain wa maneno atumiayo.hana inteligensi kichwani ltabifi viongozi wske wa chini wafanye kazi maradufu kumuokoa mama la ni mtu wa hatari duniani na werevu wanalijua hili.ameligawa ztaifa na wamarekani asilimia kubwa wanaaibika na kuogopa namna gani ataiwakilisha nchi. Na wengi wanahama.labda unataka kumpendeza na kumfurahisha mtu. Na kuandika hivi bila kusema ukweli pia kuna hatari.kazi zenu zinategemea akili, uwazi, ili mtoe ukweli wa mambo na si vihadthi vitupu kumridhisha mtu. Mnakuwa hamjawatendea haki umma.kazi zenu ni kutoa ukweli bila woga. No w aoga nyinyi.

    ReplyDelete
  2. Na PIA alisema kuwa siasa baada ya uchaguzi. Zimekwisha uzalwndo ndiyo kina ho takiwa kuwa wote Ni wamarekani na siyi Republican au democratic. Kwa hapa kwetu sio. Cmn au tlp au cuf wote Ni watanzania na TANZANIA.

    ReplyDelete
  3. mPAKA nALENLA mODI PIA KAMUIGA HOKO NCHINI INDIA.. IMEKUWA SASA KAZI TU. NA PESA KAFANYA KWELI. BADILIDSHA BADILISHA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad