⏩BY@lemutuz_nation - Wiki hii the National Debate is MADAWA YA KULEVYA kama ulivyo ushoga it is another very sensitive Subject niliwahi huko nyuma kusema kwamba binafsi ninalifahamu sana hili la Drugs kwa sababu nimewahi kuishi at the Source of it New York City nilichokiona kwa macho yangu ni kwamba once binadam akishajikita kwenye kuyatumia madawa ya kulevya huwa anafikia kutumia Cocaine kwa njia ya kujidunga Sindano that is the end of story ni almost impossible kwa yule binadamu kuja ku recover...I am just being realistic na sio kumkatisha anybody tamaa mfumo wa Ubepari Capitalism una tabia moja ya kuheshimu walioshinda tu lakini hauna nafasi kwa walioshindwa tunawahitaji sana Investors like kutoka USA but tatizo ni kwamba wanapokuja kuwekeza wanakuja na utamaduni wao pia au the American Culture ambayo inapokuja haina msalie mtume inasomba everything out na kui replace with its own ...briefly chanzo cha Binadam kutumia drugs ni akili kushindwa kuvumilia maumivu ya kawaida ya maisha kama kuachwa na mpenzi au kupoteza ajira au kupoteza kipato au kupoteza umaarufu au hata preasure za ku maintain umaarufu pia zinaweza kumpelekea binadam kwenye drugs Wazungu wanaita "DRUGS ADDICTION" ....maana yake ni akili yako haiwezi kufanya kazi yenyewe bila msaada wa Drugs na hasa kila inapofikia how to deal na maumivu ya maisha na binafsi ninasikitika sana kusema kwamba hata the Americans kwenye hili la Solutions wamefeli cause tatizo sio kuzuia Drugs zisiingie ila how to instill strong family values to our Society so that people would never think of looking for dependency of substance for their Brain wakati wa kufikiri na hasa kupambana na maumivu ya maisha ...binadam mwenye values hawezi hata kufikiria kutumia Drugs kupigana na maumivu ya kufikiria mambo ya maisha na hasa chanzo cha yote FEAR ambayo behind it ni Shetani I mean rehabs zinasaidia lakini very temporary sio permanent ...Taifa tunahitaji kuwekeza kwenye FAMILY VALUES tupiganie kuwa na Strong Families na tupiganie sana UPENDO kwa wanajamii tupiganie jamii inclusive kwa wote tusiwe na wanajamii wanaojifikiria hawahitajiki na jamii at large ...tuzidishe upendo MAY GOD BLESS TANZANIA!
UJUMBE Mzito Toka Kwa Lemutuz Kuhusu Madawa ya Kulevya Nchini....
1
January 03, 2017

Tags
family values au inabidi watu wamrudie mungu?watu wawe na hofu na mungu,kuna watu kibao wanatoka kwenye family values lakini still wanatumia madawa,and its not about money its about to know your value as human beings,na ili suala lipo kitambo sana na waathirika ni wengi mtaani lakini mpaka watokee watu maarufu wameathirika ndio linaonekana ni janga la taifa?
ReplyDelete