Uuuwii: Umemuona Mama Diamond Akiwa Amevaa Kimini na Kutembea Kimiss?Tazama Hapa Video Livee..!!!


Mama Diamond leo kupitia ukurasa wake wa Instagram amuonesha hawavumi lkn wamo ,ni baada ya kutupia kijivideo flan hivi amaiziiiiiiing ambapo mwenye anaonekana ametupia kiblauzi kimoja matata na juu akaweka kisweta flan hivi chepesi huku akiwa amevaa kimini watoto wa mjini wanaita full kipupwe huku akitembea mwendo wa kimiss.

Mashabiki wa mama huyo kizaa chema kama kawaida yao waliruka kwenye page ya Lundenga nakumtaka awe makini linapokuja suala miss Tanzania maana kuna watu wanaweza kutufikisha mbali kama taifa kwenye mashindano hayo

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umependeza na makeup you look young.

    ReplyDelete
  2. kwanza ajiheshimu. mtu mzima ovyooo!

    ReplyDelete
  3. Du! miguu kama fagio la chooni la tandale.

    ReplyDelete
  4. viguu kama fimbo ya mmasai. jiheshuma bi Sandra acha ujinga.

    ReplyDelete
  5. Mwaweza mkaaumba wenu mwenye atakuwa na miguu mnavyotaka ama mwamutukana muumbaji alosema "IT IS WELL"

    ReplyDelete
  6. sio atuunyeshe vifupa vilokwisha espaya, huyu ni mtu mzimaa lazima ajiheshimu japo tunajua umri wake kama Zari. hayawani wewe Mwanakumanyoko Anony 10.19 PM.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad