Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameyaonya magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi na kupotosha wananchi kwa kuwa vinahatarisha amani ya nchini.
Ametoa onyo hilo jana wakati akikagua na kufungua Kiwanda cha Jambo cha kuzalisha vinywaji baridi mkoani Shinyanga.
Rais Magufuli alisema Serikali haitayavumilia magazeti hayo mawili kwa kuandika habari za uchochezi ambazo zinaweza kuhatarisha amani ya nchi kama ilivyotokea katika nchini ya Rwanda na kupelekea mauaji ya kimbari nchini humo.
Mtazame na kumsikiliza hapo chini akitoa onyo hilo
Hayo Magazeti Mawili yanayoleta uchochezi hapo Tanzania ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe na wanatakiwa wachukuliwe hatua za kisheria haraka sana iwezekanavyo kabla hawajaleteleza maafa katika Taifa la Tanzania kutokana na uchochezi wao wanaoufanya.
ReplyDelete