Watch "Wolper ampiga kibuti Harmonize :Afuta picha zake zote na za WASAFI"


KUMBE na Wanaume wa Dar mnapigwa VIBUTI?
Bonyeza Play

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sababu ya ubahili usione vinangaa

    ReplyDelete
  2. Naona Harmonize hela zimeyeyuka ndiyo maana bibie anaondoka, sababu huyo Wolper ndiyo zake kila mara akiwa na mwanaume akimuona jamaa pesa zimekwisha anaondoka zake halafu huwa anakuwa na visingizio eti wanaume ndiyo wamemtumia yeye kama yule mkongo kumbe ni yeye mwenyewe Wolper ana tamaa ya pesa, anataka tu watu wasimjue tabia yake, juzi juzi tu imeandikwa kuwa ni mteja wa jike shupa huwa anamtafutia mabwana wenye pesa yaani Wolper anajiuza sababu ya tamaa ya pesa, kesho na kesho kutwa utasikia ana bwana mwingine, kuwa kampata mwingine mwenye pesa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad