Ali Kiba Ametoa Video ya Wimbo Remix ya Aje...Itazame Hapa

Msanii Alikiba baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Aje”, ameachia rasmi Video mpya ya wimbo wa “Aje Remix”, akiwa amemshirikisha msanii M.I kutoka Nigeria. Tazama hapa chini alafu toa komenti yako.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. soooo nice. kiba

    ReplyDelete
  2. nyimbo ilokwenda shule. huniangushi Kiba.

    ReplyDelete
  3. hakuna chombo, hakuna makelele, sijui nn na nn. ni simple and clear. uko juu daima Kiba.

    ReplyDelete
  4. kitu kimefanywa kiutu uzima. hakina papara wala majigambo. ni nzuri sana.

    ReplyDelete
  5. wanomponda Kiba hawajaenda shule. wanafikiri kukata kiono na kutanua mdomo ndo kujua kuimba? mziki uloenda shule ndo huu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad