Alichokipost Diamond Baada ya Kukamatwa na Polisi Kwa Kuendesha Gari Bila Kufunga Mkanda..!!!


Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuripoti kila mtu polisi kunatumika vibaya na kumpotezea mtanzania muda wake wa kazi bila sababu. Kulipa ni sawa, lakini si lazima waje waripoti.kuna namna nyingi za kulipa , na si kuripoti. Ni usumbufu si namna inavyotakiwa iwepo. Unampa mtu fsini anasikuchache alipe. Nasumbuliwa na huku kila kitu kuripoti polisi. Ni matumizi mabovu ya ofidi na udumbugu kwa wananchi

    ReplyDelete
  2. ingekuwa unga angeandika? au kutafuta kiki tuu. na bi masumbuko mbona ni mbeba unga mzuri South.

    ReplyDelete
  3. muongo na yeye kaulizwa kuhusu unga nani asojua rafiki zake wakubwa kina kinje na Tid. hata makonda anajua! ndo maana riport ya safari hii imekuwa siri.

    ReplyDelete
  4. Aliekutwa anacheza mziki WA darasa sijui VP make hatujapata feedback kwamba nae alilipa fain au please feedback

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad